Kendrick aondoka na 4G kwenye Bet Hip- Hop Award 2023

Kendrick aondoka na 4G kwenye Bet Hip- Hop Award 2023

Msanii wa Hip-hop kutokea nchini Marekani, Kendrick Lamar ameonekana kinara wa Hip-hop kwa mwaka 2023, hilo limethibitika siku ya jana kupitia BET Hip hop Awards baada ya kushinda vipengele vyote ambavyo alikuwa amechaguliwa kwenye tuzo hizo.

Tuzo hizo zilizo fanyika mjini Atlanta siku ya jana, ambapo mkali huyo ameondoka na tuzo 4 kubwa, Hip-Hop Artist of The Year, Lyricist of The Year, Best Live Perfomer na Video Director of The Year.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags