Kanye west kutua tena Africa

Kanye west kutua tena Africa

Mwanamuziki Kanye West ambaye kwa sasa anatamba na albumu ya ‘Vultures’ amepanga kuja Africa kwa ajili ya usikilizaji wa albumu yake kwenye Piramid za Saqqara nchini Misri, Aprili 20, 2024.

Hii siyo mara ya kwanza kwa Kanye kutua Africa, mara ya mwisho ilikuwa 2018 ambapo alitua Uganda kwa ajili ya kumalizia albumu yake ya ‘Yandhi’ ambayo bado haijatoka mpaka sasa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags