Imekuwa kawaida kwa msanii kutoka nchini Marekani, Kanye West kukatiza mitaani akiwa katika muonekano ambao huwaacha wengi vinywa wazi, siku sio nyingi alionekana kukatiza katika mitaa akiwa amevalia kinyago cha mbwa usoni sasa awamu hii amekatiza peku mtaani.
Kwa #Bongo tumezoea kumuona Mrisho Mpoto akiwa peku lakini tukio la aina hiyo limejitokeza kwa Kanye West na mkewe Bianca Censori nchini Italy wameonekana wakikatiza mitaani bila kuvaa viatu.
Kwa #Bongo unataani kumuona msanii gani mwingine akiwa peku mtaani?
Leave a Reply