Kanye apinga urafiki na mapaparazi

Kanye apinga urafiki na mapaparazi

Ikiwa zimepita siku chache tangu mwanamuziki na mwanamitindo kutoka nchini Marekani, Kanye West kuonekana akiwaelekeza mapaparazi njia za kupata picha na video bora, sasa rapa huyu amewachukua tena na kuwapeleka hadi sehemu ambayo mkewe anafanya ‘photoshoot’.

Jambo hili limezua sintofahamu kwenye mitandao ya kijamii kwani awali Kanye alikuwa akiwachukia sana watu hao, hadi alifikia hatua ya kuvunja vifaa vyao pindi walipokuwa wakirekodi, lakini kwa sasa jambo hilo limekuwa tofauti.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags