Kane mbioni kuuzwa

Kane mbioni kuuzwa

Mmiliki wa ‘klabu’ ya Tottenham Hotspur F.C, Joe Lewis, atoa agizo kwa mwenyekiti wa ‘klabu’ hiyo Daniel Levy, kumuuza mchezaji Harry Kane endapo atakataa ku-‘saini’ mkataba mpya.

Inadaiwa kuwa mmiliki wa ‘klabu’ hiyo Lewis ahitaji kumuona mchezji huyo akiondoka bure. Hivyo basi kwenye agizo hilo ametaka mchezaji huyo endapo atakubali kusaini upya mkataba wake atatakiwa kulipwa pauni 400,000, lakini akikataa kuingia mkataba upya atatakiwa kuuzwa na sio kuondoka bure.

Mkataba wa Kane unatarajiwa kuisha msimu ujao.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags