Kane hana baya kwa Tottenham

Kane hana baya kwa Tottenham

Mwenyekiti wa ‘Klabu’ ya #TottenhamHotspur, #DanielLevy amesema kuwa wanampango wa kumrudisha ‘straika’, #HarryKane kwenye kikosi chao endapo ‘klabu’ ya #BayernMunich itachoka huduma ya mchezaji huyo na kutaka kumuuza kwenye ‘timu’ nyingine.

Awali Kane mwenye umri wa miaka 30 aliachana na ‘klabu’ ya #TottenhamHotspur, na kujiunga na ‘timu’ ya Bayern Munich kwa ada ya Pauni 100 milioni.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags