Jose Mourinho atimuliwa kisa matokeo mabaya

Jose Mourinho atimuliwa kisa matokeo mabaya

‘Klabu’ ya #ASRoma wamemfuta kazi aliyekuwa ‘kocha’ wa ‘timu’ hiyo #JoseMourinho, baada ya kufungwa bao 3-1 na ‘klabu’ ya  #ACMilan siku ya Jumatatu.

‘timu’ ya #Milan tayari imewafunga #ASRoma takribani mara saba katika ya michezo 20 ya ‘ligi’ Serie A hadi sasa msimu huu na kupitia matokeo mabaya katika ‘klabu’ hiyo imefanya washuke daraja mpaka nafasi ya tisa kwenye ligi hiyo.

Jose Mourinho aliweza kudumu katika ‘klabu’ hiyo ndani ya miaka miwili na nusu.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags