Jesus Moloko hana chake Yanga

Jesus Moloko hana chake Yanga

‘Klabu’ ya #Yanga imefikia makubaliano ya pande zote mbili kusitisha mkataba na mchezaji #JesusMoloko raia wa #Congo.

Kupitia ukurasa wa #Instagam Yanga imeeleza kuwa wamesitisha mkataba wa aliyekuwa Winga wa timu hiyo aliyedumu ndani ya misimu miwili na nusu.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags