Jesus apewa nafasi ya Antony aliyedaiwa kumpiga ex wake

Jesus apewa nafasi ya Antony aliyedaiwa kumpiga ex wake

Mchezaji mshambuliaji wa ‘klabu’ ya Arsenal, Gabriel Jesus ameitwa kwenye kikosi cha ‘Timu’ ya Taifa ya Brazil kwa ajili ya maandalizi ya ‘mechi’ za kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Bolivia na Peru.

Ni baada mchezaji wa Manchester United, Antony Matheus kuondolewa kwenye kikosi hicho kufuatia tuhuma za unyanyasaji dhidi ya aliyekuwa mpenzi wake, Jesus amechukua nafasi ya winga huyo baada ya ‘timu’ hiyo kufanya maamuzi hayo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags