Jesse atimkia Korea, Asaini miaka miwili

Jesse atimkia Korea, Asaini miaka miwili

Mwanasoka kutoka nchini England, aliyewahi kucheza ‘klabu’ ya #ManchesterUnited #JesseLingard ame-saini mkataba wa mika miwili katika ‘klabu’ ya #FCSeoul kutoka nchini Korea Kusini.

Inaelezwa kuwa kiungo huyo mwenye umri wa miaka 31 aliyetokea ‘klabu’ ya #NottinghamForestF.C ameahidiwa na ‘timu’ hiyo kulipwa pauni 17,500 sawa na tsh 56 milioni kwa ‘wiki’.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post