Jengo lenye wakazi zaidi ya 20,000

Jengo lenye wakazi zaidi ya 20,000

Hili ndiyo jengo ambalo linadaiwa kuwa na zaidi ya wakazi 20,000 lipatikanalo Hangzhou nchini China ambalo lilipewa jina la ‘Regent International’.

Jengo hilo linadaiwa kuwa na urefu wa mita 206 na ghorofa 36, wakazi wa eneo hilo wanafuraha sana kutokana na kupata mahitaji muhimu katika kuta za jengo hilo yakiwemo mabwawa ya kuogelea, vinyozi, maduka makubwa ya dawa na chakula, migahawa, nk.

‘Regent International’ lilizinduliwa mwaka 2013 na kuwa maarufu sana jijini #Hangzhou, mbunifu wa jengo hilo akiwa #AliciaLoo, ambaye aliwakuwa mbunifu mkuu wa hoteli maarufu ya #SandsSingapore.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags