Je unadhani ni sahihi kwa mzazi au mlezi kumbusu mtoto mdomoni

Je unadhani ni sahihi kwa mzazi au mlezi kumbusu mtoto mdomoni

Imekuwa kawaida ya wazazi au walezi kutafuta njia mbalimbali za kuwafurahisha watoto na kuwafanya wanyamaze pindi wanapolia, tukiachana na michezo ya watoto ambayo imetengenezwa maalamu kwa kuwafurahisha.

Inaaminika kuwa busu ni ishara ya upendo ndiyo maana wazee wetu walikuwa wakibusu mtoto au kijana katika kiganja cha mkono au paji la uso kama ishara ya upendo au kumpatia baraka.

Lakini siku hizi kumezuka na tabia ya wazazi na walezi kubusu watoto kwenye midomo bila kujali chochote huku wenyewe wakiamini ni njia ya kucheza na mtoto.

Je unadhani ni sahihi kwa mzazi au mlezi kumbusu mtoto mdomoni?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags