JB atangaza kuachana na uigizaji

JB atangaza kuachana na uigizaji

Msanii wa filamu nchini, JB ametangaza kuachana na uigizaji na kuhamia rasmi kwenye utayarishaji movie yaani producer.

Kwenye moja ya Inteview aliyoifanya hivi karibuni msanii huyo alisema watazamani waliokuwa wakimuona kwenye runinga  kama mwigizaji alikuwa akibeba kofia mbili.

“Yaani kama mwigizaji lakini pia producer (mtayarishaji) na kazi yangu ya kwanza ni utayarishaji ya pili uigizaji nay a tatu Director. Hivyo ndoto yangu kubwa ilikuwa nikuhakikisha nakuwa Producer mkubwa Afrika, atleast kwa kuanzia Afrika Mashariki,” alisema Jb

Tuambie msomaji wetu ni filamu gani ambayo ilikufanya uwe shabiki wa Jb mpaka sasa. Tupia maoni yako katika ukurasa wetu wa Instagram ambao ni @mwananchiscoop.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags