Jay-Z awapa makavu Grammy, Kisa Beyonce

Jay-Z awapa makavu Grammy, Kisa Beyonce

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Jay-Z amewapa makavu #Grammy kwa kutowahi kumpa #Beyonce tuzo kubwa ya album ‘Of The Year’ licha ya kuwa msanii anayeongoza kuwa na tuzo nyingi za Grammy.

Ameyasema hayo wakati alipoenda kupokea tuzo ya ‘Dr. Dre Global Impact Award’, kuwa Beyonce anatuzo nyingi za Grammy kushinda mtu yeyote, lakini haiko sawa kwa sababu hajawahi kupata tuzo ya ablum bora ya mwaka, huku akiwataka wafikirie kuhusu hilo.

Mpaka sasa Jay-Z ameshinda tuzo 24 za Grammy katika vipengele tofauti.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags