Jay z anunua saa ya bilioni 14

Jay z anunua saa ya bilioni 14

Ebwana eeeh!!!!Unaambiwa Jay Z ameishtua dunia baada ya kuonekana na saa mpya ya 'Patek Philippe Tiffany Blue Nautilus 5711' yenye thamani ya Dola Milioni 6.5 sawa na Tsh Bilioni 14.

Inasemekana kuwa Saa hiyo ambayo inatajwa kuwa na gharama kubwa duniani ameonekana nayo siku za hivi karibuni wakati anaitangaza filamu yake ya The Harder They Fall kupitia Netflix, vuta kushoto kumuona akiwa na saa hiyo.

Ohooo vipi imekaaje hiyo wewe unaweza kununua saa ya bei kubwa kiasi gani na ukatamba nayo tupe mtazamo wako hapo kupitia www.mwanachiscoop.co.tz.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags