Jackie Chan agoma kuwarithisha mali watoto wake

Jackie Chan agoma kuwarithisha mali watoto wake

Muigizaji  wa kijapani Jackie Chan anakadiriwa kuwa na utajiri wa dola milioni 400, cha kusangaza ni kwamba hatamrithisha utajiri wake mwane Jaycee Chan kutokana na kuwa wasiwasi juu ya uwezekano wa usimamizi mbovu wa mali hiyo baada ya kifo chake.

Mwigizaji na mashuhuri huyo mwenye umri wa miaka 69, inaelezwa kuwa ana uhusiano mbaya na watoto wake wawili, Jaycee Chan na Etta Ng Chok Lam.

Hivi karibuni Chan katika mahojiano alisema kuhusu mtoto wake Etta Ng Chok Lam “Ikiwa ana uwezo, anaweza kutengeneza pesa zake mwenyewe” alisema Chan.

Huku akimtaja mtoto wake mkubwa, Jaycee, kuwa hataweza kupata utajiri huo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags