Jabulant adai kilicho muachisha kazi kwa Konde ni maslahi

Jabulant adai kilicho muachisha kazi kwa Konde ni maslahi

Aliyekuwa mpiga picha wa Harmonize, Jabulant ameweka wazi kuwa hajaacha kufanyakazi na Konde Gang ili azungumziwe kwenye mitandao bali aliacha kazi na nyota huyo wa muziki kwa ajili ya maslahi ya maisha yake.

#Jabu amedai kuwa ndiyo maana hajafanya mahojiano kuzungumzia jambo hilo popote, huku akiwataka watu wenye kazi zao wamtafute na kumpa kazi hizo kwani kwa sasa yupo huru.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags