Muigizaji Idris Sultan ametoa ushauri kwa wanaoogopa kutaja kiwango cha malipo ya mshahara kwa kuogopa kukosa kazi.
Idris amesema kwa kuogopa kutaja kiwango cha malipo unayoshahili ni kijikandamiza na kujiumiza mwenyewe, kwani hata ukisema laki mbili bado kuna watu watakushusha tu.

Leave a Reply