Idris Sultani: Tutapiga madufu ya enjoy

Idris Sultani: Tutapiga madufu ya enjoy

Baada ya kutokea purukushani kuhusiana na mwimbaji kutoka nchini Congo kufuta wimbo ya #Enjoy, wa Jux aliyomshirikisaha Diamond, muigizaji na mchekeshaji kutoka nchini Idris Sultan hajakalia kimya jambo hilo.

Kupitia #InstaStory yake ameandika

“Huyo mkongo wa kufuta wimbo hata aje na club na kwenye mapari na harusini kuvunja ‘flashi’ ,‘diski’ tutapiga madufu ya #enjoy. akifumba macho tunaiba na account yake”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags