Idadi ya wanawake ambao hawajaoa yaongezeka, India

Idadi ya wanawake ambao hawajaoa yaongezeka, India

Duuuuuuuuh! Kwahiyo mmegoma kuoana au vipi basi kwenye tukio la kushtukiza kutoka katika ripoti ya mwaka huu inasemaka kuwa idadi ya watu wa rika ambao hawajaoa  imeongezeka, hahahahaha! Na mnasema mapenzi yametokea india huo ni uongo bwana.

Basi bwana kwa mujibu wa 'Sample Registration Survey Report 2019' iliyotolewa Machi mwaka huu, wanaume wasio na wake ni asilimia 1.5 pekee huku wanawake wasio na waume wakiwa asilimia 5.2. Wanawake wasio na waume ni wale waliopata talaka, waliofiwa au walioolewa na wametengana.

Nchini India kwa mfano, idadi ya wanawake wasio na waume ni kubwa takriban katika majimbo yote kuliko ya wanaume wasio na wake.

Katika ripoti ya 'Vijana nchini India 2022' iliyotolewa Julai na Wizara ya Takwimu na Utekelezaji wa Mipango, ilibainika kuwa idadi ya wanaume na wanawake ambao hawajaoa katika makundi yote ya umri inaongezeka.

Uchunguzi wa hivi karibuni wa serikali uligundua kwamba vijana nchini India wanapendelea kuishi wenyewe kuliko kuoa wala kuolewa

Chanzo BBC

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags