Huu uzi umeenda

Huu uzi umeenda

Huku purukushani za usajili zikiendelea katika vilabu mbalimbali, Singida Fountain Gate FC imeshusha ‘jezi’ mpya (Uzi) ya msimu 2023/2024, uzinduzi huo wa ‘jezi’ umeenda sambamba na utambulisho wa duka la ‘klabu’ hiyo Mkoani Singida.

‘Jezi’ yao ya buluu itatumika kwa mechi za nyumbani, ‘jezi’ ya njano ni kwa ajili ya mechi za ugenini na ‘jezi’ ya kijani ndio 'uzi' namba tatu.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags