Hotel yenye gharama, kulala usiku mmoja ni zaidi ya 744 milioni

Hotel yenye gharama, kulala usiku mmoja ni zaidi ya 744 milioni

Kama tunavyojua wapo baadhi ya watu pesa kwao sio kitu, sasa tumeamua kuwasogezea sehemu ambayo wataenda kuenjoy maisha, ambapo ni katika hoteli yenye gharama zaidi duniani iliyoko chini ya maji iitwayo ‘The Lover's Deep St. Lucia’.

Hoteli hiyo iliyoko chini ya maji katika pwani ya St. Lucia nchini West Indies, inagharimu kiasi cha dola 292,000 ambayo ni zaidi ya tsh 744 milioni kwa usiku mmoja.

Katika hoteli hiyo utafanikiwa kuona viumbe mbalimbali vinavyopatikana baharini ukiwa kitandani kwako vilevile pia kuna, baa, choo, na sehemu nyingine.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags