Hili ndio gari la polisi Miami

Hili ndio gari la polisi Miami

Idara ya Polisi ya ‘Miami Beach’ nchini Marekani imetangaza kuwa kwasasa polisi watatumia magari ya Rolls-Royce katika doria za sehemu ya ufukwe (beach) pamoja na bandalini.

Gari hilo la kifahari, likiwa na taa za polisi na ving'ora, lilizinduliwa siku ya Alhamisi kama sehemu ya juhudi za kuwavutia wanajeshi wapya kwenye kikosi hicho.

Gharama zote zinazohusiana na gari hiyo zilifadhiliwa na ‘Braman Motors’, kampuni ya magari ya ndani, kwa ushirikiano na Jiji la Miami Beach.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags