HII KALI: Wanaume kuingia leba

HII KALI: Wanaume kuingia leba

Ulishawahi kutamani kuingia leba na kushuhudia mtu anavyojifungua?

Kama wewe ni mwanaume mwenye mke au girlfriend ambaye yuko pregnant, basi hii inakuhusu!

Kati hali aidha ya kushangaza, kustaajabisha ama kufurahisha (depending na utakavyoamua kuona), CCBRT imezindua jengo lake la huduma ya afya ya mama na mtoto, huku ikiweka vyumba ambayo wanaume wanaweza kushuhudia wenza wao wakijifungua.

Tupatie mawazo yako hapo chini na utueleze, je upo tayari kushuhudia mwanamke wako akijifungua?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post

Latest Tags