Hersi: Asilimia 80 mafanikio ya yanga yamechangiwa na GSM

Hersi: Asilimia 80 mafanikio ya yanga yamechangiwa na GSM

Rais wa klabu ya #Yanga Eng Hersi Saidi ameeleza kuwa mafanikio ya klabu yake kwa zaidi ya asilimia 80 yamechangiwa na uwepo wa mdhamini wa klabu hiyo Ghalib Said Mohamed.

Ameyasema hayo leo akiwa katika hafla fupi ya kumpongeza GSM. katika kumbukizi ya siku ya kuzaliwa.

 Aidha Hersi ametoa shukurani kwa GSM amesema kuwa yeye pamoja na familia yake wameweza kuisaidia ‘klabu’ hiyo hivyo amemuomba aendelee kuiunga mkono ‘klabu hiyo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post