Hazard anyanyua mikono juu, Astaafu soka

Hazard anyanyua mikono juu, Astaafu soka

Nyota wa ‘soka’ #EdenHazard, ameamua kustaafu ‘soka’ akiwa na umri wa miaka 32 baada ya kuachana na ‘klabu’ ya Real Madrid.

Hazard alijiunga na ‘timu’ hiyo kwa bei ghali na kutabiliwa mengi kwenye ulimwengu wa ‘soka’ baada ya kuonesha kiwango bora akiwa na ‘klabu’ ya #Chelsea katika ‘ligi’ kuu ya England, akishinda mataji mawili na The Blues na kufanikiwa kufunga mabao 110 kwenye ‘mechi’ 352.

Hata hivyo ‘winga’ huyo wa ‘timu’ ya Taifa ya Ubelgiji alipokea ofa nyingi kutoka Uarabuni, lakini ameamua rasmi kuachana na soka baada ya miaka 16 na akiwa amecheza ‘mechi’ zaidi ya 700.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags