Harmonize: Tusonge mbele bado hatujachelewa

Harmonize: Tusonge mbele bado hatujachelewa

Mwanamuziki #Harmonize amewakumbusha wasanii wenzake kuwa zamani msanii akitoa wimbo wa kingereza ilikuwa ni kituko na kuwataja baadhi ya wasanii wa zamani walio pambania kuimba kwa lugha ya hiyo lakini hawakuvuma sana waliishia kupata heshima tu.

#KondeBoy amedai hayo ikiwa hivi karibuni amefululiza kutoa ngoma zake kwa lugha ya kingereza.

Vilevile msanii huyu amedai kuwa yeye ndiye msanii wa kwanza #Tanzania kutunga wimbo wa kingereza na ukaimbwa na kila mtu huku akiwambia wasanii wenzake wasonge mbele bado hawajachelewa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags