Harmonize amtambulisha mpenzi wake mpya

Harmonize Amtambulisha Mpenzi Wake Mpya

Msanii wa muziki nchini Rajab Abdul maarufu kama Harmonize amemtambulisha mpenzi wake mpya aliyefahamika kwa jina la Briana.

Katika ukurasa wake wa Instagram Harmonize amethibitisha kutoka kimapenzi na mrembo huyo kwa sasa.

“Been waiting for this moment to tell everybody wat you meen to me….!!! I jus wanna love you in this life and respect every woman….!!! Like sister, friend, auntie, mum, Promise to be there for you life time….Welcome to my world queen (B),” ameandika Harmonize

EE bwana baada ya caption hiyo zimeibuka comment kutoka ka waja hatari wengi wakimsifia kuwa amepata chombo kipya hivyo atulie kwenye mahusiano yake ya sasa.

 
Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A writer, reporter, presenter and news anchor for Mwananchi Scoop. Her writings are based on Career and skills development every Monday and entertainment, every Friday on Mwananchi Scoop. Her famous segments on Mwananchi Scoop include SMARTPHONE and NIPE DILI.

Latest Post