Hamisi wa bss kwenye penzi na Mzungu

Hamisi wa bss kwenye penzi na Mzungu

Mwanamuziki Hamisi aliyefahamika kupitia shindano maarufu la kusaka vipaji nchini Bongo Star Search ame-share picha akiwa na mdada wa kigeni wakiwa katika kumbato na kuisindikiza na emoji ya kopa, na kupelekea wengi kuibua maswali kuhusiana na wawili hao.

 

Kwa unavyoiona hiyo picha unadhani Hamisi kapata mwenza?
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post