Haikuwa show, Ni watu nje ya hotel aliyokuwa amelala MJ

Haikuwa show, Ni watu nje ya hotel aliyokuwa amelala MJ

Hawa si watu waliojitokeza kwenye show, bali video hii ya miaka mingi iliyopita inaonesha watu wakiwa wamejaa nje ya chumba cha hotel alichokuwa amelala mfalme wa pop Michael Jackson.

Unadhani mtu gani maarufu kwa sasa anaweza kukusanya umati wa watu kama MJ?
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags