Haikuwa rahisi Diamond kukaa ndani ya jeneza

Haikuwa rahisi Diamond kukaa ndani ya jeneza

Kitu ambacho mashabiki walikuwa hawajui ni kwamba haikuwa rahisi kwa mwanamuziki @diamondplatnumz kukaa ndani ya jeneza ili kuridhisha mashabiki wake wa Ruangwa siku ya juma pili.

Hivyo basi msanii huyo amefunguka kupitia mtandao wa x  kuwa alikuwa katika wakati mgumu na hofu kubwa  alipoingia ndani ya jeneza.

Star huyo ameandika,

 "Kutokea ndani ya jeneza ilikuwa ni tukio la ajabu sana kwangu. Nilikua naogopa sana"
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags