Gunna Afungua Duka Wanafunzi wajisevia bila malipo

Gunna Afungua Duka Wanafunzi wajisevia bila malipo

Aiseee unaambiwa baada ya kutangazwa kuwa septemba 16 kila mwaka itatambulika rasmi kama Gunnaday ndani ya mji anaotoka South Fulton Georgia nchini Marekani basii Rapa huyu bhana  Ameamua kufungua Duka katika shule aliyosoma miaka iliyopita.

Gunna bwana amefungua Duka hilo am balo lina Vyakula, Nguo pamoja na vifaa vya Kusomea, ambapo wanafunzi wa hapo aisee watakuwa wanajichulia bureee yaani bila malipo yoyote.

Wachaaa weuwee hivi kibongo bongo unafikiri mwamba gani anaweza akafanya hili? Tuambie hapo chini.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags