Filamu ya Barbie yavunja rekodi mwaka 2023

Filamu ya Barbie yavunja rekodi mwaka 2023

Filamu maarufu ya Barbie iliyoongozwa na Greta Gerwig imevunja rekodi kwenye kuingiza maokoto mwaka 2023 kwa kupata zaidi ya dola 1.4 bilioni kupitia mauzo yake duniani.

Barbier ndiyo filamu iliyofanikiwa kwa ukubwa mwaka 2023 ikipokea kijiti kutoka kwenye filamu ya ‘Avata: The Way of Water’ ya mwaka 2022 iliyoongozwa na James Cameron ambayo mwaka jana iliupiga mwingi katika mauzo kwa kuingiza zaidi ya dola 2 bilioni.

Barbie ni filamu ya vichekesho iliyoachiwa rasmi July 2, 2023 nchini Uingereza.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags