FIFA  yaipiga kufuri Tabora United

FIFA yaipiga kufuri Tabora United

Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) waifungia kusajili wachezaji ‘klabu’ ambayo ipo katika ‘Ligi’ kuu ya NBC Tabora United, ambayo zamani ilikuwa inaitwa Kitayosce FC, kufuatia madai ya ada za usajili na malimbikizo ya mshahara kutoka kwa waliokuwa wachezaji wake, raia wa Ghana, Emmanuel Lamptey pamoja na Collins Gymfi.

Aidha uamuzi huo unakuja baada ya wachezaji hao raia wa Ghana, kufungua na kushinda kesi dhidi ya waajiri wao wa zamani, ‘klabu’ ya Tabora United.

Baada ya ‘timu’ hiyo kukaidi amri ya kulipa madai ya wachezaji hao ndani ya siku 45 na kupelekea kufungiwa kusajili wachezaji kutoka nje ya mipaka na ndani ya Tanzania.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags