Fat Joe asikitika kumkosa Will Smith kwenye tuzo za Bet

Fat Joe asikitika kumkosa Will Smith kwenye tuzo za Bet

Mwanamuziki wa Hip-hop Fat Joe ambaye pia ni Mtangazaji na  Mtayarishaji Mkuu wa Kipindi cha Tuzo za BET Hip Hop, ameeleza alivyoumia baada ya kumkosa Will Smith kwenye jukwaa la tuzo hizo licha ya kufanya jitihada kubwa za kumtafuta.

Fat Joe akizungumza na jarida la People, ameeleza kuwa alitaka kumpandisha Will Smith jukwaani katika Tuzo za BET Hip Hop za 2023, lakini hataweza kufanya hivyo kwani Smith na Martin Lawrence wapo katika kutengeneza muendelezo wa movie ya ‘Bad Boys’.

 

Tuzo hizo za BET Hip Hop  zinazotarajiwa kutolewa leo Oktoba 10.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags