Fahyvanny: Natakakujua kama mke mwenzangu yupo

Fahyvanny: Natakakujua kama mke mwenzangu yupo

Akiwa katika interview na moja ya chombo cha habari kwenye usiku wa birthday party mpenzi wake, @fahyvanny amesema kwa msisitizo hawezi kuacha simu ya baba mtoto wake @rayvanny akidai anataka kujua hata kama mke mwenzake yupo amjue anatokea wapi.

Huku akisema kuwa dini inaruhusu wake wanne huku akidai kuwa yawezekana #Rayvanny amemfuta kwenye dini yake.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags