Fahyma  atoa yamoyoni  kuhusu  mahusiano yake

Fahyma atoa yamoyoni kuhusu mahusiano yake

Unaambiwa kimeumana bwana!, baada ya Baby Mama wa Msanii Rayvanny Fahyma 'Fahyvanny' ameamua kuvunja ukimya wa kushochwa na story zinazosemekana mitandaoni kwamba ameachwa kwenye mahusiano yake.

Fahyma ametema nyongo kupitia  'Insta Story' yake kwa kuandika ujumbe ufuatao kwa wanaomdhihaki kwamba ameachwa.

"Nasema hivi mnikome jamani Fahyma kaachwa kaachwa, nimechoka na kama sijaachwa je? na wewe unayeendelea kunichokonoa endelea kuna jambo unalitaka".

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags