Ex wa YG adaiwa kusababisha kifo cha bibi wa miaka 89

Ex wa YG adaiwa kusababisha kifo cha bibi wa miaka 89

Mama watoto wa ‘rapa’ kutoka nchini Marekani YG, Catelyn Sparks, anadiwa kusababisha kifo cha bibi  wa miaka  89.

Inadaiwa kuwa Sparks aliigonga gari ya bibi huyo na kusababisha kifo chake kabla ya kupelekwa hospitali, huku kwa upande wake akiwa amepata majeraha madogo.

Licha ya hayo taarifa za awali zinadai kuwa Sparks hakuwa ametumia kilevi cha aina yoyote wakati akiendesha gari.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags