Endo atimba Liverpool

Endo atimba Liverpool

Mchezaji wa ‘klabu' ya #VfBStuttgart ya #Ujerumani, #WataruEndo yuko tayari kwenda katika ‘klabu’ ya #Liverpool baada ya ‘klabu’ yake kufikia makubaliano ya kumfungulia njia kwenda katika ‘timu’ hiyo.

Raia huyo wa #Japan ambaye anamudu kucheza nafasi ya kiungo mkabaji tayari amefikia makubaliano ya maslahi binafsi na Liverpool kwa ada ya Euro milioni 18 na tayari ‘klabu’ yake imempa ruhusa kwenda #England.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags