Elon Musk afunguliwa ashitaka na Ex wake

Elon Musk afunguliwa ashitaka na Ex wake

Bilionea Elon Musk, amefunguliwa mashitaka na ex wake Grimes, ambaye alizaa naye watoto watatu,

 juu ya haki ya malezi ya watoto wao.

 Grimes amefungua mashitaka hayo ya kutaka kushiriki katika malezi ya watoto ikiwemo kuonana nao kwani kwa sasa hapatiwi nafasi hiyo ya kuona watoto wake. Ikumbukwe kuwa Musk, ni baba wa watoto 11 na amewapata kwa wanawake watatu tofauti.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags