Drake na J.cole kama Cr7 & Messi

Drake na J.cole kama Cr7 & Messi

‘Rapa’ kutoka #Marekani, #Drake na J. Cole wameiga pozi la picha ya wachezaji maarufu duniani #LionelMessi na #CristianoRonaldo iliyo waonesha wakicheza chess.

#Drake na J. Cole waliiga pozi hilo la picha katika video ya wimbo wao wa 'First Person Shooter', uliyotoka siku ya jana Jumatano.

Ikumbukwe kuwa picha hiyo ya ‘wanasoka’ hao ilipigwa na ‘kueditiwa’ mwaka 2022 na mpiga picha maarufu #AnnieLeibovitz kutoka nchini Marekani.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags