Drake hana mpango wa kuoa kwasasa

Drake hana mpango wa kuoa kwasasa

Msanii kutoka nchini Marekani, Drake amefunguka sababu ya yeye kuchelewa kuoa, licha ya kuwa baadhi ya watu wanamuona anastahili kuwa na mke kwa sasa.

Drizzy ambaye ana umri wa miaka 36, amefunguka sababu za kutoa akiwa katika interview na The Really Good Podcast, Drake amesema kuwa hadhani kama anaweza kupata mtu atakayestahili kwenye ndoa, na ndio maana kipaumbele chake ni kazi yake.

Nyota huyo wa muziki kutoka Marekani, kwa sasa  anaendelea na ziara yake iitwayo 'It's All a Blur Tour' anayofanya na @21savage.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags