Drake asaini dili la Bilioni 928

Drake asaini dili la Bilioni 928

Ukisia nimepata mchongo ndo huu wa Msanii Drake ambaye amesaini dili na Universal Music Group (UMG) ambalo linaripotiwa kuwa na thamani ya Sh. Bilioni 928.

Hata hivyo inakumbukwa kuwa Drake aliwahi kusainiwa na Cash Money kupitia kampuni ya UMG’s Republic Records na sasa ametia saini tena kwa UMG kwa mkataba huo mpya unaohusu kusimamia kazi zake za kurekodi, uchapishaji pamoja na video.

Tuambie msomaji wetu kwa hapa nchini unatamani msanii gani apatiwe dili hilo na kampuni hiyo kubwa duniani.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags