Drake Ampa Future saa ya Bilioni 1

Drake Ampa Future saa ya Bilioni 1

Msanii wa muziki Hip Hop kutoka Canada Aubrey Drake Graham a.k.a Drake ameamua kumpatia msanii mwenzake Future zawadi ya saa aina ya RichardMile yenye thamani za Bilioni moja.

Kupokea kwa zawadi hiyo kumethibitishwa na Future mwenyewe kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo ameshare video akiwa amevaa saa hiyo ya thamani.

Kwa mujibu wa tovuti ya kuuza saa hizo, thamani yake inatajwa kuwa ni zaidi ya Bilioni moja za kitanzania.

Drake ni msanii aliye lelewa na mzazi mmoja tu ambaye ni mama yake mzazi katika jiji la Toronto nchini Canada.

Hebu sema ukweli, ni zawadi gani umewahi kumpatia rafiki yako na ni ya Sh ngapi.

 

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags