Diva: Nina mawigi mengi kuliko sufuria za kupikia

Diva: Nina mawigi mengi kuliko sufuria za kupikia

Baada ya kuwa na story nyingi kuhusiana na mtangazaji maarufu nchini Diva kuto badilisha ‘wigi’, hatimaye amevunja ukimya na kuweka sawa jambo hilo, wakati akifanyiwa interview na moja ya chombo cha habari na kueleza kuwa ‘anamawigi’ zaidi ya mia moja.

Diva amesemaa,

“ Ni kwamba ninapenda nywele zenye rangi moja, nina mawigi zaidi ya mia moja na ukiangalia yanafanana hivyo hvyo, mtu akiliona anaona wigi hilo hilo limekakamaa, kati ya vitu nina-spend a lot of money ni wigs mimi nanunua wigs hata la milioni tano, napenda ma-wigs ninayo mengi kuliko sufuria za kupikia”.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags