Diva aeleza sababu ya kutopata mtoto

Diva aeleza sababu ya kutopata mtoto

Mtangazaji #Divatheebawse afunguka sababu ya kutopata mtoto akiwa katika mahojiano na moja chombo cha habari ameeza kuwa aliwahi kupata matatizo yaliyosababisha akafanyiwa upasuaji ndiyo maana anachelewa kupata mtoto.

Aidha ameeleza kuwa bado anaendelea na matibabu ambayo anatakiwa afate mchakato, anadai kuna kipindi anabeba ujauzito lakini unatoka hiyo ni moja ya hatua nzuri ambayo anasema akiendele vizuri na matibabu ipo siku atapata mtoto.

Licha ya hayo mwanadada huyo alisema kama itatokea akaruhusiwa ku -‘adapt’ mtoto atafanya hivyo, ingawa sheria hiyo nchini ni ngumu, anasema amewahi kufatilia lakini alishindwa na hakuwahi kusikia Tanzania kuna mtu ka-adapt mtoto






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags