Dilunga Kutibiwa Afrika Kusini

Dilunga Kutibiwa Afrika Kusini

Kiungo wa Klabu ya soka ya Simba ,Hassan Dilunga ameondoka nchini kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya kupata matibabu ya majeraha yanayomkabili kwa muda mrefu.

Aidha taarifa kutoka katika Klabu ya Simba, imeeleza kuwa nyota huyo ambaye aliwahi kuitumikia Yanga, ameondoka leo nchini na  kuelekea Afrika Kusini.

Hata hivyo Dilunga amekuwa nje ya dimba kuwa muda mrefu akiuguza jeraha ambalo limemfanya asiitumikie Simba.

Sambamba na hayo Nyota huyo alijiunga na Simba mwaka 2018 na kuwa sehemu ya mafanikio ya mataji mbalimbali waliyoyatwaa Simba kwa misimu miwili mfululizo






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags