Diarra: CAF imenipa nguvu

Diarra: CAF imenipa nguvu

Baada ya kukaa langoni kwa dakika 630 na kuisaidia ‘timu’ yake kuongoza msimamo wa ‘Ligi’ Kuu Bara, mlinda mlango namba moja wa #Yanga, #DjiguiDiarra amekiri kuwa ‘ligi’ ni ngumu huku akiweka wazi kuwa #CAF imempa nguvu.

Kwa mujibu wa #Mwanaspoti #Diarra alisema siyo jambo dogo kwake kuwania tuzo ya goli kipa bora #Africa suala hilo linamuongezea nguvu za kujiamini na kufanya mambo makubwa.

“Tayari najiona mshindi, makipa kumi barani Afrika jina langu lipo siyo kitu kidogo, nimepata nguvu na kupata imani kuwa kila kitu kinawezekana na nitaendelea kuwa bora zaidi ya hapa nilipo sasa kutokana na kuamini kuwa natazamwa na wengi na ubora wangu umekuwa darasa.”
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post