Diamonds: Zuchu anafanya wanawake wote niwaone kama dada zangu

Diamonds: Zuchu anafanya wanawake wote niwaone kama dada zangu

Mwanamuziki wa #BongoFleva nchini #DiamondPlatnumz amekiri mbele ya mashabiki kuwa #Zuchu ndiye mwanamke anayesababisha wanawake wengine awaone kama dada zake.

Diamond ameyasema hayo baada ya kumuomba msamaha msanii huyo ambaye ni mpenzi wake akiwa katika onesho la Full moon Party lililofanyika siku ya jana visiwani Zanzibar.

Ikumbukwe kuwa week iliyopita Zuchu aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa Instagram akidai kuwa ameamua kuachana na Diamond kwa sasa na kuwa huru kwenye maisha mengine.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags