Diamond kutoa mbinu za kufika kimataifa kwa wasanii wa Tz

Diamond kutoa mbinu za kufika kimataifa kwa wasanii wa Tz

Baada ya kuwepo na mijadala kuhusu nyimbo nyingi za wasanii nchini kutopenya mataifa mengine licha ya wasanii hao kufanya vizuri Tanzania, #Diamondplatnumz amepanga kuwapa somo kwasanii wenzake kuhusu namna ya kuufanya muziki wao upenye katika soko la kimataifa.

#Diamondplatnumz ame-post video ya #Chad_13jones akishiriki challenge ya wimbo wake mpya 'Shu' na kuambatanisha ujumbe usemao.

“Baadae nitakuja na makala ya kuwafunza na kuwaambia kwanini Amapiano nyingi za wasanii wa nyumbani zinaishia kuwa piano za #Bongo tu na zangu zinakuwa za mataifa mbalimbali”.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags